LEO NI SIKU YAKO YA KUIBUKA BINGWA UEFA, MAN CITY VS REAL MADRID

Je unajua kuwa ushindi mwepesi upo UEFA leo?. Ni rahisi sana wewe kuondoka na mkwanja wa maana kwa kusuka jamvi lako lenye timu za ushindi kama vile Real Madrid, PSG, Sporting CP na zingine kibao. Tengeneza jmavi lako la ushindi hapa.

Leo hii mechi kali sana ligi ya mabingwa ni hii inayowakutanisha kati ya Manchester City vs Real Madrid mabingwa mara 15 wa kombe hili. City yeye wamechukua kombe hili mara moja pekee. Hii ni mechi inayosubiriwa na watu wengi Duniani leo. Mechi za mwisho kukutana walitoshana nguvu na Real alishinda kwa mikwaju ya penalti. Je leo hii pale Etihad nani kuondoka pointi 3?. ODDS za mechi hii ni 2.00 kwa 3.65. Jisajili hapa.

Sporting Lisbon ya Ureno atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani. Mwenyeji kwenye ligi yao anashika nafasi ya 1 akiwa na pointi zao 51, huku kwa upande wa Borussia wao wapo nafasi ya 11 akiwa na pointi zake 29 pekee, huku ,mechi iliyopita akipigika nyumbani. Mechi hii imepewa ODDS 2.35 kwa 3.05. Suka jamvi hapa.

UEFA imerejea kwa kishindo leo, suka jamvi lako na Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Bingwa wa LIGUE 1 PSG atamenyana dhidi ya Stade Brest huku timu zote zinakipiga kule Ufaransa LIGUE 1. Nafasi ya kushinda ndani ya Meridianbet wamepewa vijana wa Luis Enrique kwa ODDS 1.35 kwa 8.80. Mara ya mwisho timu hizi kukutana, Paris aliondoka na ushindi mechi zote. Je leo hii mwenyeji atalipa kisasi nyumbani?. Bashiri hapa.

Vilevile nyasi za Allianz zitawaka leo ambapo Juventus atamkaribisha kwake PSV kutoka Uholanzi ambapo mechi ya mwisho waliyokutana, vijana wa Thiago Motta waliondoka na ushindi. Wakali wa ubashiri wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.95 kwa 4.10. Wewe unamdhamini nani akupe pesa leo?. Jisajili hapa.