DROO YA HATUA YA 16 BORA YA KOMBE LA FA ENGLAND YATOKA, MAN UTD VS FULHAM

Droo ya hatua ya 16 bora ya kombe la FA England imetoka ambapo Mabingwa watetezi, Manchester United wamepangwa dhidi ya Fulham huku Manchester City wakipangwa dhidi ya Wababe wa Liverpool, Plymouth.

Wababe wa Chelsea, Brighton wamepangwa dhidi ya Newcastle United huku Aston Villa wakipangwa dhidi ya Cardiff City wakati Wolves wakikutanishwa na Bournemouth.

Preston πŸ†š Burnley

Aston Villa πŸ†š Cardiff City

Doncaster/Crystal Palace πŸ†š Millwall

Manchester United πŸ†š Fulham FC

Newcastle United πŸ†š Brighton

AFC Bournemouth πŸ†š Wolverhampton

Manchester City πŸ†šPlymouth

Exeter/Nottingham Forest πŸ†š Ipswich