LIGI Kuuu Bara ambayo inadhaminiwa na NBC ikiwa ni ligi namba nne kwa ubora Afrika bado inazidi kupasua anga taratibu ukiwa ni mzunguko wa pili.
Februari 10 2025 kuna mechi ambazo zitachezwa katika viwanja tofauti kwa wababe kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja.
Ngoma inatarajiwa kuwa namna hii leo:-
KenGold v Fountain Gate, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
KMC v Singida Black Stars, Uwanja wa KMC, Complex, Dar
JKT Tanzania v Yanga, Uwanja wa Isamuhyo, saa 10:45
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, kukipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371. Ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.