Mechi mbalimbali kuendelea Duniani siku ya leo, timu kibao zitashuka dimbani kuchuana vikali kusaka ushindi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yanakungoja wewe pekee leo.
Tukianza na LALIGA kule Hispania inatarajiwa kuendelea ambapo Real Sociedad vs Villarreal ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 13. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili walitoshana nguvu, hivyo siku ya leo kila timu inahitaji ushindi mnono kabisa. Pesa yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Beti hapa.
Kwa upande wa Sevilla yeye atakipiga dhidi ya Real Betis ambao mpaka sasa wameshinda mechi 5 huku wenyeji wao wakishinda pia mechi 5. Mwenyeji kapoteza mechi sita huku mgeni wake kapoteza mechi mbili. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.
Real Madrid atakuwa ugenini kukichapa dhidi ya Girona ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 18, huku mgeni yeye akiwa ndiye kinara wa ligi. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet wamepewa vijana wa Xabi Alonso. Je wewe pesa yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Bashiri sasa.
Piga mkwanja wa maana na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ligi kuu ya Uingereza EPL, itaendelea ambapo Crystal Palace atamenyana dhidi ya Manchester United ambapo msimu uliopita, Palace alichukua pointi 4 kwenye mechi mbili walizokutana. Je vijana wa Amorim watafanya nini ugenini?. Tandika jamvi lako hapa.
Mechi nyingine ni hii ya bingwa mtetezi Liverpool ambaye atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya West Ham United ambao wapo nafasi za chini kwenye msimamo wa ligi. Msimu uliopita Jogoo wa Anfield aliondoka na ushindi mechi zote mbili. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Bashiri hapa.
N amechi kali Jumapili hii ni London Derby ambayo itawakutanisha kati ya Chelsea vs Arsenal ambapo mara ya mwisho The Blues kupata ushindi ilikuwa ni 2021, hivyo safari hii inataka ushindi mbele ya vijana wa Arteta. Je Enzo Maresca atauweza mfupa ambao umewashinda wengi?. Jisajili hapa.
Pia unaweza ukabashiri mechi za ligi kuu ya Italia yaani SERIE A ambapo Pisa atamleta kwake Inter Milan ambao wapo kwenye mbio za Scudetto msimu huu. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 16. Mgeni yeye anahitaji ushindi kuendelea kusalia kileleni. Je nani kuondoka na ushindi?. Beti sasa.
Atalanta uso kwa uso dhidi ya Fiorentina ambao msimu huu umekuwa mbovu sana kwao kwani hadi sasa hawajashinda mechi yoyote kwenye ligi. Tofauti ya pointi kati yao ni 8 pekee huku mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. Nani kuibuka bingwa leo?. Bashiri hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi, Napoli yeye atakuwa mgeni wa AS Roma ambao msimu huu umekuwa bora sana kwao kwani hadi sasa wana pointi 24 huku wageni wao wakiwa na pointi zao 22 pekee. Mechi ya mwisho kukutana walitoa sare. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili hapa.