Ratiba ya NBC Premier League Novemba 26,2025

NBC Premier League 2025/26 bado moto unaendelea ikiwa ni raundi ya 8 kwa timu kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Mechi kali tatu zinatarajiwa kuchezwa leo ya kwanza itakuwa Coastal Union vs Mbeya City saa 8:00 mchana, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Fountan Gate vs Tanzania Prisons saa 10:15 jioni, Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara. Funga…

Read More