CAF Cofederation Cup ratiba ipo namna hii

CAF Cofederation Cup ratiba bado inaendelea kupasua anga ambapo wawakilishi wa Tanzania kwenye hatua za makundi watakuwa nyumbani katika mechi za raundi ya pili. Singida Black Stars na Azam FC hizi zitakuwa nyumbani kusaka pointi tatu muhimu baada ya mechi zilizopita za ufunguzi kupoteza ugenini. Ijumaa Novemba 28, Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Florent…

Read More