Chelsea imechukua alama zote tatu kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Burnley katika dimba la Turf Moor na kukwea mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu England alama 23 baada ya mechi 12.
FT: Burnley 0-2 Chelsea
⚽ 37’ Neto
⚽ 88’ Fernandez