Shinda Samsung A26 Leo Jumatano kwa Kubashiri Rahisi Kupitia *149*10#

Bila Intanenti ni rahisi kabisa kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kushindania Samsung A26 na Meridianbet leo. Jumatano ya Zawadi ipo kwaajili yako siku ya leo inaweza kukupa furaha sana.

Jumatano hii haifanani na nyingine yoyote. Ni siku ambayo Meridianbet inawasha moto wa bahati kwa njia ambayo haijawahi kutokea. Kwa mara nyingine tena, wateja wote wanaopenda kubashiri wanapewa nafasi ya kipekee ya kuondoka na zawadi yenye thamani kubwa Samsung A26 mpya kabisa. Kile unachotakiwa kufanya ni rahisi, cha haraka, na hakihitaji ujanja mkubwa: Piga *149*10#, chagua mechi zako, weka dau, na safari ya ushindi inaanza papo hapo.

Meridianbet inasema kuwa promosheni hii iimeanza mwezi huu na itaneda mpaka mwisho wa mwezi huu yaani Novemba 30, huku wateja wa Meridianbet wakihimizwa kuchangamkia fursa hii ya kibabe kabisa.

Huu ni mwaliko kwa wapenzi wa michezo wote  waacha hofu, chukua hatua, na ujiunge na mamia ya washindi wanaopata simu zao kila Jumatano.

Piga pesa ya haraka kabisa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Meridianbet inakupa nafasi ya kipekee kubashiri mechi yoyote unayoitaka, kwa urahisi bila hata kutumia intaneti. Ni hatua chache tu zinazokuweka kwenye mstari wa mbele wa washindi. Unachotakiwa kufanya ni kupiga *149*10#, kuchagua mechi zako, kuweka ubashiri wako na ungoje sasa kutangazwa mshindi.

Huu ni mwaliko wa kuchangamkia zawadi. Ni wimbo wa ushindi unaowaita wote walio tayari kuweka dau na kuamini safari yao. Hata kama ni ubashiri wa kwanza au wa mia, Jumatano hii inaweza kuwa ya pekee kwako.

Usiache nafasi hii ikupite. Piga *149*10# sasa, weka ubashiri wako, na jiandae kusherehekea ushindi. Meridianbet kila dau lina nafasi, kila mteja ni mshindi mtarajiwa hivyo nafasi ndiyo yako leo hii.

Kumbuka kuwa Tiketi za Turbo Cash hazitahesabiwa kabisa, hivyo basi kama unataka kushiriki kwenye kuwania Samsung A26 unatakiwa usubiri mechi zako zote zichezwe ndipo uwe umefuzu kwenye promosheni hii.