Al Ahli Tripoli Yarudi na Mzigo: Yatupa Ofa ya Dola Milioni 2 kwa Feitoto
KLABU ya Al Ahli Tripoli ya Nchini Libya imetuma ofa nono zaidi kwenda Azam Fc kwa ajili ya kumsajili kiungo Faisal Salum ‘Feitoto’ ikiwa ni ofa ya pili baada ya ile ya awali ya Dola laki 8 kutupiliwa mbali. Miamba hiyo ya Libya safari hii imedhamiria kumng’oa kiungo huyo wa zamani wa Young Africans Sc…