Mechi nyingi za ligi leo zipo kwaajili yako. Unangoja nini?. Suka jamvi lako hapa na huenda safari ya kutimiza ndoto zako ikawa njiani. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa.
Poland watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Malta huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 11. Mwenyeji yupo nafasi ya 2 akiwa na pointi 13, huku mgeni yeye akiwa na pointi 2. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ijiweke kwenye nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Jisajili hapa.
Croatia nao watasafiri kukipiga dhidi ya Montenegro ambao mpaka sasa wana pointi 6 huku wenyeji wake wakiwa ndio vinara wenye pointi 16. Utofauti wa pointi kati yao ni 10 hadi sasa. Nafasi ya kuondoka na poini 3 pale Meridianbet amepewa mwenyeji. Hivyo ingia na usuke jamvi lako mechi hii.
Tengeneza pesa kwenye mechi za kasino leo upige pesa kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mechi kali kabisa ni hii ya Germany vs Slovakia ambapo hawa wote wana pointi sawa kwenye msimamo wa kundi lao. Mara ya mwisho kukutana, Ujerumani ilipoteza, hivyo leo hii wanataka kulipa kisasi. Je mgeni ataweka kikwazo?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Netherlands wao wataumana dhidi ya Lithuania ambao kwenye mechi 6 ambazo wamecheza hadi sasa hawajashinda hata moja, wakitoa sare 3 na kupoteza mara 4. Mwenyeji yeye ndie kinara wa kundi hilo akiwa ameshinda mechi 5 na sare 1. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Tandika jamvi hapa.
Czechia yeye atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Gibraltar ambao kwenye mechi 6 ambazo wameshinda hadi sasa hawajapata ushindi wa aina yoyote. Mwenyeji yeye hadi sasa kwenye mechi 7 ambazo amecheza ameshinda mechi 4 na sare 1. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri hapa.