Azam FC yaipigia hesabu AS Maniema kimataifa
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika ambapo wataanzia ugenini. Azam FC saa 10:00 jioni watakuwa Uwanja wa De Martyrs kwenye kete yao ya kwanza katika anga la kimataifa ugenini Novemba 23,2025. Hasheem Ibwe, Ofisa Habari…