Unajua ile hisia ya kukosa namba zote kwenye tiketi ya Win&Go na ukaanza kuhisi bahati haipo upande wako? Sasa sahau kabisa mawazo hayo. Meridianbet imeamua kubadilisha mchezo kwa kukuletea Lucky Loser, ofa ya kipekee inayokupa sababu ya kutabasamu hata baada ya kupoteza. Ukikosa namba zote 6 kwenye tiketi yako, unalipwa mara 30 ya dau lako.
Hii ni nafasi ya kipekee ambayo inapatikana tu kwa wachezaji wanaoweka tiketi kupitia akaunti ya pesa taslimu ndani ya mchezo wa Win&Go. Tiketi yako yenye namba 6 sasa inakuwa na nguvu mbili, ya ushindi wa kawaida na ya Lucky Loser. Hivyo, haijalishi kama bahati haikuangukia leo, bado unapata sababu ya kusherehekea.
Kitu cha kuvutia zaidi ni kwamba Lucky Loser haichukui tiketi zote. Inahusu tiketi halali zisizo za mfumo, zisizotumika kwa bonus, na ambazo hazina Golden Round. Mara tu unapokosa namba zote 6, tiketi yako inakuwa mshindi wa moja kwa moja kupitia ofa hii maalumu. Hakuna mizunguko, hakuna droo, ni ushindi safi na wa papo hapo.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa ni zaidi ya jukwaa la michezo ni nyumba ya bahati, ubunifu, na burudani isiyoisha. Lucky Loser ni uthibitisho kwamba hata ukikosa, bado una nafasi ya kupata faida kubwa kuliko ulivyotarajia.
Kwa hiyo, jiandae kwa mchezo wenye msisimko wa kipekee. Cheza Win&Go leo, weka tiketi yako, na acha Lucky Loser ikuonyeshe upande mwingine wa bahati kwani hapa kila tiketi ni nafasi ya ushindi, iwe kwa kupatia au kwa kukosa.