Steven Mukwala mambo bado Simba SC
Steven Mukwala msimu wa 2025/26 mambo bado magumu kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na kukwama kufungua akaunti ya mabao. Ipo wazi kwamba Mukwala hajawa katika ubora ambao unahitajika kutokana na kukosa nafasi za kufunga anapopata nafasi kwenye mechi za ushindani. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye mchezo dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa Novemba 8,2025…