Kimataifa Yanga SC hatua ya makundi mechi za nyumbani itatumia Uwanja wa New Amaan Complex ambazo ni tatu kwa msimu wa 2025/26. Hii hapa ratiba ya mechi za kimataifa kwawawakilishi hao wa Tanzania CAF Champions League:-
Yanga SC vs AS FAR inatarajiwa kuchezwa Novemba 21,2025
JS Kabylie vs Yanga SC inatarajiwa kuchezwa Novemba 28,2025
Al Ahly vs Yanga SC inatarajiwa kuchezwa Januari 23,2026
Yanga SC vs Al Ahly inatarajiwa kuchezwa Januari 30,2026.
AS FAR vs Yanga SC inatarajiwa kuchezwa 6, Februari 2026.
Yanga SC vs JS Kabylie inatarajiwa kuchezwa Februari 13,2026.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.