NBC Premier League, JKT Tanzania vs Simba SC kupigwa usiku
NBC Premier League burudani inaendelea na Jumamosi, Novemba 8,2025 kutakuwa na mechi mbili kazi kwa wababe kusaka pointi tatu muhimu. Novemba 8, saa 10:00 jioni Pamba Jiji FC watakuwa Uwanja wa CCM Kirumba wakiwakaribisha Singida Black Stars ambao tayari wameshawasili Mwanza kwa kazi. Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kumenyana…