Meridianbet Yabeba Bendera ya Matumaini Katika Mapambano Dhidi ya Saratani ya Matiti

Mwezi Oktoba kila mwaka, dunia nzima huungana kwa ajili ya matumaini, mapambano, na upendo. Kwa kampuni ya Meridianbet, huu si mwezi wa alama tu, bali ni muda wa kutekeleza matendo halisi yanayogusa maisha ya watu, hasa wanawake wanaopambana dhidi ya saratani ya matiti. Kupitia mpango wao wa kijamii unaoitwa “Tuko Pamoja Nanyi”, Meridianbet imeendelea kuwa…

Read More

Simba SC vs TRA United kitaumana Oktoba 30,2025

Simba SC itakaribishwa na TRA United kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Oktoba 30. Ofisa Habari wa TRA United, Christina Mwagala amesema kuwa wapo tayari kuwakabili wapinzani wao kuelekea mchezo huo na maandalizi yapo tayari. Viingilio kwenye mchezo wa Oktoba 30 ni 20,000 VIP na mzunguko ni 10,000 ambapo tiketi…

Read More