Jumatano ya Zawadi na Meridianbet! Ushindi wa Simu Mpya Unakusubiri!

Je unajua kuwa ni wakati mwingine tena wa ushindi na zawadi nono kutoka kwa kampuni inayoongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Meridianbet! Ambapo ndani ya promosheni mpya ya Jumatano ya Zawadi imekuja kukupatia nafasi ya kujishindia  simu aina ya Samsung A26 kwa njia rahisi na ya kusisimua

Kupitia promosheni hii, mchezaji anachotakiwa kufanya ni kubeti mechi 3 au zaidi, kuanzia Jumatano hadi Jumanne, na tayari atakuwa amejiweka kwenye nafasi ya kuibuka mshindi wa zawadi hii ya kifahari. Kadri unavyobeti zaidi, ndivyo unavyoongeza nafasi yako ya kushinda.

Promosheni hii ni kwaajili ya wale wanaobashiri kwa kutumia USSD yaani *149*10# lakini pia kwa wewe ambaye bado hujajiunga muda ndio huu hapa, weka dau lako kuanzia michezo 3 na zaidi, kisha subiri kuona jina lako likiibuka kwenye orodha ya washindi wa Samsung A26.

Jumatano ya Zawadi ni promosheni ya kibabe kabisa kukujia ambapo imeanza mwezi huu tarehe 01 na itaishia tarehe 30 huku kukiwa na nafasi ya kuwa moja ya washindi wa uhakika siku ya Jumatano ambapo droo itachezeshwa.

Ukiachana na promosheni hiyo, vilevile Meridianbet inakwambia kuwa leo hii unaweza ukatusua kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Nafasi ya wewe kuweza kumiliki simu janja na kali yenye kupiga picha kali na Meridianbet pekee ndio wanaweza kufanya ndoto zitimie kwa namna moja ama nyingine. Unangoja nini sasa?. Ingia kwenye akaunti yako ya ubashiri na ubeti sasa.

Safari yako ya mafanikio itakuwa nzuri sana endapo utaamua leo hii kufata ndoto zako. ODDS KUBWA na za kibabe zipo hapa kwa mabingwa wa muda wote. Mechi kibao zinaendelea hivyo bashiri na Meridianbet sasa.

NB: Wakati wa promosheni hii ya Jumatano ya Zawadi, mteja hataruhusiwa kufanya CASH OUT kwenye mkeka wake kwani kufanya hivyo moja kwa moja kutamfanya awe amejiondoa kwenye ushiriki wa mashindano. Hivyo mteja anatakiwa asubiri mpaka mechi zake zote ziishe ndipo ataweza kujiweka kwenye washindi.