Jumamosi ya Moto Ulaya! Vigogo wa Soka Warudi Uwanjani Kufukuzia Kombe la Dunia 2026

Ni Jumamosi ya kishua kwa wapenzi wa soka duniani kote. Viwanja mbalimbali barani Ulaya vinawaka moto huku vigogo kama Ureno, Uhispania, Italia, Hungary, Norway na Serbia wakirudi kazini kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026. Na kama kawaida, Meridianbet ndiyo sehemu ya kushika mpunga wako wa maana kupitia ODDS za kifahari zilizowekwa leo.

Bulgaria nae yupo uwanjani dhidi ya Uturuki. Bulgaria inaingia uwanjani ikihitaji alama tatu za kwanza baada ya kupoteza mechi zote. Wenyeji wanajua mbele yao kuna Uturuki waliopo kileleni kwa tofauti ya pointi 3. Mchuano huu ni vita ya hadhi na matumaini ya kufuzu. ODDS zimepangwa vizuri, chagua upande wako sasa.

Uhispania na Georgia ni pambano la majirani kwenye msimamo. Tofauti yao ni pointi 3 pekee, huku Uhispania wakiwa wanaongoza kundi. Mechi tano zilizopita Georgia haijawahi kuonja ushindi mbele ya La Roja. Lakini leo ni fainali kwao ushindi ni lazima. ODDS za Meridianbet ziko moto, kamata nafasi yako mapema.

Wakati mechi zikiendelea, Meridianbet pia wanakupa nafasi ya kujizidishia mapato kupitia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz, hapa ndipo jamvi la ushindi linapopatikana.

Baada ya kipigo kutoka kwa Ureno, vijana wa Marco Rossi wanarudi nyumbani wakiwa na hasira. Armenia wao hawana mzaha, wako nafasi ya pili na wanataka kileleni. Historia inasema Hungary alishinda 2–0 walipokutana mwaka 2004, lakini je, historia itajirudia? ODDS ziko tayari kwa wachambuzi wa kweli.

Cristiano Ronaldo na kikosi chake cha Ureno wako vizuri kileleni, wakiwa na pointi 5 zaidi ya Ireland walioko mkiani. Mchuano huu ni nafasi nyingine kwa wenyeji kuendelea kutakata. Meridianbet imeweka ODDS za moto, swali ni moja tu, je, unaiweka pesa yako wapi leo?

Norway bado haijapoteza mchezo wowote, pointi 15, mechi 5, ushindi 5. Hii ni timu inayoua mechi mapema. Lakini Israel hawajaenda kutalii, wana pointi 9 na wanataka kuvunja rekodi ya wenyeji. Meridianbet wameweka ODDS zenye ladha ya ushindi. Ni wewe kuamua nani anabeba pointi tatu leo.

Italia wanarejea uwanjani wakiwa moto baada ya matokeo mazuri mfululizo. Estonia wapo nafasi ya tano na wanakutana na wapinzani waliowapiga 5–0 mara ya mwisho. Mashabiki wa Azzurri wanatarajia burudani, lakini kwa mabashiri, hii ndiyo mechi ya kupata odds safi kabisa

Serbia dhidi ya Albania ni mechi isiyohitaji kusimuliwa. Hii si mechi ya kawaida, ni derby ya Balkan. Tofauti ya pointi ni moja tu, Albania wakiwa na 8 na Serbia 7. Kila timu inajua kwamba kushinda leo kunamaanisha kusalia kwenye mbio za kufuzu. Ni pambano lenye joto, na presha. Bashiri kwa akili, ODDS ni tamu kuliko kawaida.