Usiku wa Leo Ulaya: Vumbi Kutimuka Kuelekea Kombe la Dunia
Usiku wa leo, barani Ulaya, vumbi linatarajiwa kufuka katika viwanja mbalimbali huku timu za taifa zikichuana vikali kuwania tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia. Mashabiki wa soka wanajiandaa kwa burudani ya hali ya juu, na kwa wale wenye jicho la kubashiri, Meridianbet imeweka mazingira murua ya kugeuza maarifa ya soka kuwa ushindi halisi. Katika Kundi…