Liverpool, Arsenal na Man City Vita Mpya ya Ubingwa Wa EPL!

Katika msimu huu wa Ligi Kuu ya England, Meridianbet imetangaza Odds za kuvutia kwa timu zinazopigiwa upatu kutwaa ubingwa. Kwa mashabiki wa soka na wataalamu wa kubashiri, huu ni wakati wa kuchukua nafasi mapema kabla hali haijabadilika.

Arsenal wameanza msimu kwa kasi ya kuridhisha. Baada ya kumaliza nafasi ya pili msimu uliopita, vijana wa Arteta wamejikusanyia pointi muhimu kupitia ushindi wa mechi 4 kati ya 6, sare moja na kipigo kimoja. Wakiwa na magoli 12 kufunga na 3 tu kuruhusu, Meridianbet wamewapa Odd ya 2.20, ikiashiria imani kubwa kwa The Gunners kutwaa taji.

Liverpool, bingwa mtetezi, yupo kileleni kwa sasa baada ya kushinda mechi 5 na kupoteza moja. Ingawa si chaguo la juu kabisa kwa Meridianbet, bado wamepewa Odd ya 2.75. Kwa mashabiki wa Anfield, huu ni wakati wa kuonyesha imani kwa Arne Slot na kikosi chake kilichosheheni nyota mbalimbali.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Manchester City hawajaanza kwa kasi yao ya kawaida. Vipigo viwili na sare moja vimewaweka nafasi ya saba wakiwa na alama saba, lakini historia yao ya kutawala EPL kwa misimu mitatu mfululizo bado inawapa heshima. Meridianbet wamewapa Odd ya 6.05, Odd kubwa inayoweza kugeuka ushindi mnono kwa wanaoamini Guardiola bado ana uwezo na mbinu za kutwaa taji hilo kubwa.

Chelsea wameingia msimu huu wakiwa na mataji ya kimataifa, lakini ndani ya EPL bado hawajapata mwelekeo. Mechi 6, ushindi 2, sare 2, vipigo 2 huku wakikumbana na kasumba ya majeruhi na kadi nyekundu za mara kwa mara. Licha ya changamoto zote hizi, bado wana kikosi cha kutwaa ubingwa na Meridianbet wamewapa Odd ya 35. Hii ni fursa ya kipekee kwa mashabiki wa The Blues na wabashiri jasiri.

Tottenham Hotspurs, mabingwa wa UEFA Europa League, wameanza msimu kwa ushindi wa mechi 3, sare 2 na kipigo 1. Ushindi wao dhidi ya Man City umeongeza matumaini, na Meridianbet wamewapa Odd ya 52. Kwa wanaoamini kwenye maajabu ya Spurs, huu ni wakati wa kuweka dau la kishindo.

Wakati wa kuwa tajiri kwa kumbashiria bingwa wa EPL ndo huu, odds ni kali na vikosi vyote vinajieleza. Ni wewe na kukusanya takwimu tu.