
Simba SC kuutumia Meja Isahmuyo kwa mechi za nyumbani
SIMBA SC huenda wakautumia Uwanja wa Meja General Isahmuyo kwa mechi za nyumbani katika Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika. Hii inatokana na Uwanja wa Mkapa ambao Simba SC ilikuwa inautumia kwa mechi za nyumbani kufungiwa kwa muda kutokana na maboresho ambayo yanaendelea. Kwa sasa Uwanja wa Mkapa…