AS Roma, Lille, Celtic, FCSB na Fenerbahçe na Timu Zingine Zianzia Msimu Mpya wa Ulaya

Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanajiandaa kwa usiku wa burudani ya hali ya juu, wakati UEFA Europa League itakapowasha moto kwa mechi kadhaa kali na zenye mvuto wa kipekee. Na kwa wale wakubashiri, Meridianbet haikuachi nyuma. Odds ni kubwa sana kwa ajili yako.

Katika dimba la Celtic Park, wenyeji Celtic watachuana na SC Braga ya Ureno katika mechi inayotarajiwa kuwa ya kasi na mbinu. Celtic wanatafuta ushindi wa nyumbani ili kujiweka vizuri katika kundi lao, huku Braga wakilenga kuonyesha ubora wao wa kiufundi.

Wakati huo huo, FCSB ya Romania watakuwa wakipambana na Young Boys kutoka Uswisi. Timu hizi mbili zinajulikana kwa soka la kushambulia, na mashabiki wanatarajia mabao na burudani ya kutosha.

Katika uwanja wa Şükrü Saracoğlu, Fenerbahçe wa Uturuki wanawakaribisha Nice ya Ufaransa. Mechi hii inakutanisha timu mbili zenye historia na mashabiki waaminifu, na huenda ikawa moja ya mechi za kuvutia zaidi usiku huo.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.

Ludogorets Razgrad wa Bulgaria nao wanakutana na Real Betis ya Hispania. Betis, wakitoka La Liga, wanatarajiwa kuonyesha ubabe wao, lakini Ludogorets hawatakuwa rahisi nyumbani.

Baada ya mechi za awali, usiku utaendelea kuwa wa msisimko pale Feyenoord wa Uholanzi watakapowakabili Aston Villa ya England. Mechi hii inakutanisha vikosi vyenye uzoefu na wachezaji wa kiwango cha juu, na mashabiki wanatarajia pambano la nguvu na mbinu.

Genk wa Ubelgiji wataingia dimbani dhidi ya Ferencváros ya Hungary. Mechi hii inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku kila timu ikisaka pointi muhimu za kujiweka salama katika kundi lao.

Mwisho wa ratiba ya Alhamisi, Lyon wa Ufaransa watamenyana na FC Salzburg ya Austria. Hii ni mechi ya kasi, vijana, na mbinu za kisasa, na huenda ikatoa mshangao kutokana na uwezo wa vikosi vyote viwili.

Kwa mashabiki wa soka na wadau wa kubashiri, leo hii ni fursa ya kipekee ya kufuatilia mechi zenye ushindani, mbinu, na burudani ya hali ya juu. Kwa wale wanaopenda kubashiri, ni wakati wa kuingia pale meridianbet kusuka jamvi lako la ushindi.