Kocha Yanga SC bado yupoyupo

WAKATI tetesi zikieleza kuwa kuna uwezekano wa Roman Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC akakutana na Thank You taarifa zinaeleza kuwa bado yupoyupo ndani ya kikosi hicho. Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara ya NBC msimu wa 2025/26 wamecheza mechi mbili pekee ambazo ni dakika 180. Mechi ya ufunguzi walipata ushindi wa…

Read More

WAWILI UNYAMANI KUIKOSA NAMUNGO KWA MKAPA

WAKIWA kwenye hesabu za kumtafuta kocha mpya, Msimbazi wataendelea kukosa huduma ya wachezaji wawili kwenye mchezo wa leo Oktoba Mosi 2025 Uwanja wa Mkapa dhidi ya Namungo. Simba SC kwa sasa ipo chini ya kocha msaidizi Suleman Matola ambaye atakiongoza kikosi hicho kwenye mchezo dhidi ya Namungo FC. Katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

Simba SC yamtaka kocha Yanga SC

INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba SC wapo na hesabu za kumpa kazi Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars. Inaelezwa kuwa Simba SC mara baada ya Fadlu Davids kubwaga manyanga walianza kufikiria kupata huduma ya Gamondi ambaye aliwahi kuinoa Yanga SC na kuipa ubingwa. Uzoefu wake kwenye soka la Afrika…

Read More

UEFA Champions League, Ni Burudani Tupu Usiku Huu

Usiku wa leo, anga la soka barani Ulaya linawaka moto wa ushindani, huku UEFA Champions League ikirudi tena na msimu mwingine wa mechi tisa za kuvutia. Mashabiki wa Meridianbet na wapenda kubashiri wanatarajia burudani ya hali ya juu, huku kila mchezo ukiwa na hadithi yake, ladha yake, na nafasi ya kuandika historia mpya. Vita ya…

Read More