Skip to content
Tuesday, April 28, 2026
  • Ujue muda wa mechi ya Yanga SC vs Simba SC
  • PSG na Bayern Munich: Ni Kivumbi Ligi ya Mabingwa Leo Usiku Kwenye Uwanja wa Parc des Princes
  • Matokeo ya Simba SC Muungano Cup 2026
  • Yanga SC vs Simba SC, Muungano Cup fainali

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Ujue muda wa mechi ya Yanga SC vs Simba SC
  • PSG na Bayern Munich: Ni Kivumbi Ligi ya Mabingwa Leo Usiku Kwenye Uwanja wa Parc des Princes
  • Matokeo ya Simba SC Muungano Cup 2026
  • Yanga SC vs Simba SC, Muungano Cup fainali

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • September
  • 29

September 29, 2025

  • Sports

Singida Black Stars vs Mashujaa FC, KMC Complex Septemba 30

Saleh7 months ago01 mins

HUSSEN Masanza, Ofisa Habari wa Singida Black Stars amebainisha kuwa mashabiki katika timu hiyo wanazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu jambo ambalo linamaanisha kukua kwa familia hiyo. Septemba 30 2025 Singida Black Stars itakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma Uwanja wa KMC Complex saa 8:00 mchana…

Read More
  • Sports

FIFA Yaiadhibu Afrika Kusini kwa Kumchezesha Mchezaji Asiye na Sifa

Saleh7 months ago01 mins

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) imetoa adhabu kwa Chama cha Soka cha Afrika Kusini (SAFA) baada ya kubainika kumchezesha Teboho Mokoena, mchezaji asiye na sifa za kushiriki, katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Lesotho uliochezwa mwezi Machi mwaka huu. Kwa mujibu wa uamuzi huo, Afrika Kusini imenyang’anywa ushindi…

Read More
  • Sports

Mgombea Urais CCM Dkt. Samia Aahidi Maji Safi na Salama kwa Kila Mtanzania

Saleh7 months ago02 mins

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Septemba 28, 2025 akiwa Pangani Mkoani Tanga, amempongeza Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kwa juhudi kubwa alizozifanya katika kuimarisha huduma ya maji nchini pamoja na…

Read More
  • Sports

Ishu ya Yanga SC kuachana na Kocha Mkuu Folz Jembe ahoji maswali mazito

Saleh7 months ago02 mins

WAKATI tetesi zikieleza kuwa mabosi wa Yanga SC huenda wakaachana na Kocha Mkuu, Romain Folz ambaye amekiongoza kikosi hicho kutwaa taji la Ngao ya Jamii, Legend katika masuala ya michezo Tanzania Saleh Ally Jembe amehoji maswali mazito. Jembe amebainisha kuwa tetesi hizo haoni kama zina mashiko kutokana na sababu ambazo zinatajwa kutoeleweka kwani hakuna kitu…

Read More
  • Sports

Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!

Saleh7 months ago7 months ago01 mins

  Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini! Mchezo huu unatarajiwa Oktoba 13, nchini Cape Verde, na ushindi wa Cape Verde utawapa fursa ya moja kwa moja kufuzu Kombe la Dunia! Tanzania iko kibao cha fahari…

Read More
  • Sports

Mechi Kubwa Leo: EPL, La Liga na Serie A Ushindi Uko Mezani

Saleh7 months ago02 mins

Leo ni Jumatatu ya kipekee kwa mashabiki wa soka duniani, huku viwanja vya EPL, La Liga na Serie A vikitarajiwa kutoa burudani ya kiwango cha juu. Mechi nne zenye mvuto wa kipekee zinapamba ratiba, kila moja ikiwa na uzito wake kwa msimamo wa ligi na morali ya vikosi vinavyoshiriki. Kwa Meridianbet, siku hii ni ya…

Read More
  • Sports

Jishindie Simu Mpya Kupitia Mchezo Mpya wa Super Heli kutoka Meridianbet

Saleh7 months ago7 months ago02 mins

Kampuni ya Meridianbet, inayojulikana kwa kuleta michezo bora ya kasino ya mtandaoni, imezindua promosheni mpya kupitia mchezo wa Super Heli. Huu ni mchezo wa kipekee wenye mvuto wa aina yake, na sasa unawapa wachezaji fursa ya kujishindia zawadi kabambe za simu janja aina ya Samsung A26. Kama bado hujaanza kushiriki, basi huu ndio wakati sahihi…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.