Singida Black Stars vs Mashujaa FC, KMC Complex Septemba 30
HUSSEN Masanza, Ofisa Habari wa Singida Black Stars amebainisha kuwa mashabiki katika timu hiyo wanazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu jambo ambalo linamaanisha kukua kwa familia hiyo. Septemba 30 2025 Singida Black Stars itakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma Uwanja wa KMC Complex saa 8:00 mchana…