
Simba SC yataja hasara waliyopata kisa kukosa mashabiki kimataifa
UONGOZI wa Simba SC umebainisha hasara watakazopata kutokana na kuwakosa mashabiki kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United ya Botswana, Septemba 28 2025 Uwanja wa Mkapa. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa walipata adhabu kutokana na makosa ya mashabiki kwenye mechi zilizopita za kimataifa…