Kipindi cha pili
FT: Yanga SC 2-0 Wiliete
Yanga SC imeshinda mabao 2-0 dhidi ya Wiliete, mabao ya Pacome Zouzoua na Aziz Andambilwe. Wanasonga mbele hatua ya pili kwa jumla ya mabao 5-0.
Goooooal
Dakika ya 85 goal Aziz Andambilwe
Dakika ya 85 Chikola anapiga kona
Dakika ya 85 Pacome anatoka anaingia Offen Chikola
Dakika ya 83 Kibwana anaokoa hatari
Dakika ya 83 Bacca anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 77 Kibwana anacheza faulo
Dakika ya 76 Bacca anapiga pasi ndefu kumfuata Boka anayekutwa katika mtego wa kuotea
Dakika ya 75 nahodha wa Wiliete anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 74 Duke Abuya anakwenda benchi anaingia Kouma
Dakika ya 72 Boyel of target
Goooooal
Dakika ya 70 Pacome anafunga goal kwa mguu wa kulia
Dakika ya 31 Chikola anapiga kona
Dakika ya 67 mwamuzi anampa onyo kocha wa Yanga SC Romain Folz
Dakika ya 62 anafanya jaribio linaokolewa, dakika ya 63 anakutwa katika mtego wa kuotea Boyel
Dakika ya 61 Boyel anakutwa katika mtego wa kuotea
Dakika ya 60 Dube anatoka anaingia Boyel
Dakika ya 60 Dube anafanya jaribio akiwa nje kidogo ta 18 linaokoleea ba kipa wa Wiliete
Dakika ya 59 Yanga SC wanakutwa katika mtego wa kuotea
Dakika ya 58 Boka anatibua mipango ya Wiliete akiwa karibu na kona ya bendera
Dakika ya 57 Wiliete wanaanza kujipanga kutokea kwa kipa kuelekea lango la Yanga SC
Dakika ya 56 Aziz anacheza faulo
Dakika ya 55 kipa wa Wiliete anaokoa jaribio la Yanga SC
Dakika ya 52 Dube anapoteza pasi
Dakika ya 51 Bika anachezewa faulo
Dakika ya 51 Duke anacheza faulo
Dakika ya 50 Boka anapoteza pasi
Dakika ya 49 Wiliete wanaokoa hatari
Dakika ya 48 Kibwana anapiga krosi kwa Pacome anampa Dube Wiliete wanaokoa
Dakika ya 47 mchezaji wa Wiliete anaokoa hatari
Dakika ya 45 Offen Chikola anaingia anatoka Mudathir Yahya
Septemba 27 2025
Uwanja wa Mkapa
Yanga vs Wiliete
Dakika 45 zimekamilika zimeongezwa dk 3
Boka rusha dk 45
Dk 44 Maxi chexewa faulo
Dk 42 Kibwana save
Diara save dk 39
Dakika ya 37 Pacome piga kona
Dakika ya 37 Duke on target
Dakika ya 35 Bacca save
Dakika ya 31 Duke anapoteza pasi
Dakika ya 31 Andambilwe anapiga faulo
Dakika ya 31 Pacome anachezewa faulo
Dakika ya 30 Pacome anachezewa faulo
Dakika ya 29 Maxi anapiga faulo
Dakika ya 29 Maxi anachezewa faulo
Dakika ya 29 Yanga wanapata kona
Dakika ya 28 Wiliete wanaokoa hatari ndani ya 19
Dakika ya 24 Maxi piga kona
Dakika ga 23 Pacome miss chance
Dakika ya 22 Maxi piga kona
Dakika ya 21 Maxi piga kona
Dakika ya 21 Maxi miss Chance
Kutoka Uwanja wa Mkapa, Lunyamadzo Mlyuka Mtunzi wa Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu anaripoti.