
Simba SC vs Fountain Gate kupigwa Uwanja wa Mkapa
SELEMAN Matola kocha msaidizi wa Simba SC amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Fountain Gate unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 25 2025. Huu unakuwa mchezo wa kwanza kwa Simba SC msimu wa 2025/26 kwenye ligi ambayo imeanza kasi Septemba 17 kwa mechi za ushindani kuendelea ndani…