
Simba SC watimka Dar asubuhi tu baada ya kupoteza Kariakoo Dabi
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids asubuhi ya Septemba 17 2025 kimeanza safari ya kuelekea nchini Botswana kwa kupitia nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone FC. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumamosi hii Septemba 20 huko Botswana kabla ya…