
ZIMEBAKI SIKU MBILI KARIAKOO DABI KWA MKAPA
ZIMEBAKI siku mbili kabla ya mchezo wa Kariakoo Dabi kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 16 2025 ikiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Yanga SC walitwaa taji hilo kwa ushindi kwenye mchezo wa fainali mbele ya Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Simba SC iligotea kuwa mshindi wa…