Yanga SC vs Simba SC zimebaki siku tatu

YANGA SC vs Simba SC wababe hawa wawili wanatarajiwa kuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi ndani ya Uwanja Septemba 16 2025. Zimebaki siku tatu kwa watani hawa wa jadi kupambania taji la Ngao ya Jamii ikiwa ni mchezo rasmi wa ufunguzi wa msimu mpya wa 2025/26. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 taji la Ngao ya…

Read More

ZIMBWE JR AFIKIRIA MAKUBWA YANGA SC

Mohmaed Hussen Zimbwe Jr beki wa kushoto ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu Romain Folz amesema kuwa anafurahia mapokezi makubwa aliyoyapata kutoka kwa mashabiki anamini watajituma kufanya vizuri ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba Zimbwe Jr ni miongoni mwa wachezaji waliopokewa kwa shangwe kubwa ndani ya Yanga SC katika utambulisho wake,…

Read More

SIMBA SC YATAMBIA KIKOSI IMARA

UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa una kikosi imara na chenye uwezo wa kuleta ushindani kutokana na maandalizi ambayo yamefanyika. Septemba 10 2025 ilikuwa ni kilele cha tamasha la Simba Day, Uwanja wa Mkapa na ilikuwa ni Full House baada ya mashabiki kujitokeza kwa wingi kuujaza uwanja na kushangilia mwanzo mwisho. Katika tamasha hilo…

Read More

MERIDIANBET YAKABIDHI DUSTBINS HOSPITALI YA KIFUMA, YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA JAMII

Kama kawaida ilivyo kwa wakali wa ubashiri Meridianbet kuerejesha kwa jamii, Leo hii ilikuwa ni zamu ya Kifuma Hospitali ambao walifurahia ujio wa Meridianbet wa kuwapelekea Dustbins kwaajili ya kuhifadhi takataka. Msafara huo wa kufika katika hospitali hiyo ambayo inapatikana maeneo ya Sinza uliongozwa na Afisa Mahusiano Nancy Ingram akiwa na wenzake ambao kwa pamoja…

Read More