KIKOSI CHA YANGA SC MBELE YA BANDARI

Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Bandari FC mchezo wa kirafiki Uwanja wa Mkapa Septemba 12 2025 ikiwa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi.

Djigui Diarra, Israel Mwenda, Farid Mussa, Bakari Mwamnyeto. Assink, Aziz Andambwile, Maxi Nzengeli.

Kouma, Prince Dube, Shekhan, Ecua hawa wameanza kikosi cha kwanza.

Wachezaji wa akiba ni Aboutwalib Mshery, Ibrahim Bacca, Dickson Job, Ninju. Shomari Kibwana,Mohamed Hussein, Boka, Casemiro, Conte. Duke Abuya, Mudathir Yahya, Doumbia, Sure Boy, Dennis Nkane, Offen Chikola, Edmund John na Boyel.

 

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.