
SIMBA SC YAPATA USHINDI MBELE YA GOR MAHIA KIMATAIFA
Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa kitaifa wa kimataifa. Mabao ya Simba SC Septemba 10 2025 yamefungwa na beki wa kati Hamza Abdulrazak dakika ya 7. Ni pigo la Jean Ahoua ambaye alipiga Free Kick kwa mguu wake…