Katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri, ushindi hauishii tu kwenye pesa, sasa unakuja na zawadi za kifahari. Mabingwa wa ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, wamezindua promosheni kabambe inayowapa wachezaji nafasi ya kujishindia simu mpya kabisa aina ya Samsung A25 kupitia mchezo maarufu wa Aviator.
Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri, Aviator si mchezo mpya kwao. Unahusisha urushaji wa kindege ambapo dau lako linaongezeka kila kindege kinavyopaa juu, lakini siri ya ushindi ni kutoa pesa kabla ya ndege hiyo “kulipuka.” Hii inahitaji uamuzi wa haraka, mikakati ya kipekee, na moyo wa ujasiri.
Sasa, Meridianbet wameongeza ladha zaidi kwenye mchezo huu kwa kuleta zawadi ya simu ya kisasa. Hii si tu burudani ya kipekee, bali ni fursa ya kuondoka na faida ya pesa na simu mpya bila gharama ya ziada.
Promosheni hii maalum imeanza rasmi tarehe 1 Septemba 2025 na itaendelea hadi 30 Septemba 2025. Ndani ya kipindi hiki, watumiaji wa Meridianbet wana nafasi ya kushinda simu mbili kila Jumatatu, kwa kuzingatia masharti ya promosheni.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Zawadi hizi zinapatikana kwa wateja wote, iwe ni walioko kwenye tovuti rasmi ya meridianbet.co.tz au wanaotumia programu ya simu ya Meridianbet. Ni promosheni ya kipekee inayowapa wachezaji msisimko wa ziada kila wiki na kuongeza ushindani wa kuvutia kwenye mchezo wa Aviator.
Jisajili na Meridianbet kupitia tovuti au app na cheza Aviator kwa kuzingatia masharti ya promosheni na uwe kwenye nafasi ya kushinda simu mpya kila wiki bila kulipia chochote zaidi ya dau lako la kawaida.
Kwa mashabiki wa kamari, hii ni zaidi ya ushindi wa kawaida. Ni nafasi ya kuondoka na zawadi ya thamani, huku ukiburudika na mchezo unaochochea akili na hisia. Kama wewe ni mpenzi wa Aviator au unatafuta sababu ya kuanza, basi huu ndio wakati sahihi.