
CARABAO CUP: MAN UNITED YAANGUSHWA NA GRIMSBY TOWN KWA PENALTI 12-11
Manchester United imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Carabao (EFL Cup) kufuatia kipigo cha penalti 12-11 dhidi ya timu ya Grimsby Town Fc inayoshiriki Ligi daraja la nne Nchini England kwenye mchezo wa raundi ya pili wa michuano hiyo katika dimba la Blundell Park. FT: Grimsby Town Fc 2-2 Man United (12-11) ⚽ 22’…