
SIMBA SC WAWATULIZA WAARABU, MPANZU NA KIBU WACHEKA NA NA NYAVU
WAARABU Wadi Degla SC 0-2 Simba SC ni matokeo kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Agost 26 2025 ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2025/26. Simba SC imeweka kambi Misri na inatarajiwa kurejea Tanzania Agosti 28 2025. Simba SC imecheza jumla ya mechi nne, ikipata ushindi kwenye mechi tatu na kupoteza mchezo mmoja chini ya Kocha…