SABABU YA SIMBA DAY KUWA SEPTEMBA, UZINDUZI NI IRINGA

UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa sababu kubwa ya Simba Day kufanyika Septemba badala ya Agosti ni ratiba kubana huku wakipanga uzinduzi wa Wiki ya Simba kufanyika mkoano Iringa, wilayani Mafinga. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Simba Day ni tamasha kubwa ambalo linazidi kuboreshwa kila siku huku…

Read More