
YANGA SC YAANZA KUISOMA SIMBA SC KUELEKEA KARIAKOO DABI
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC. Mchezo huo unasubiriwa kwa shauku kubwa unatarajiwa kuwa na ushindani ndani ya dakika 90 kwa wababe hao katika uwanja kusaka ushindi. Inaelezwa kuwa tayari Kocha Mkuu wa Yanga SC, raia wa Ufaransa, Romain Folz…