
CHAN 2024: SUDAN YAING’OA ALGERIA KWA PENALTI, YATINGA NUSU FAINALI
Timu ya Taifa ya Sudan imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) baada ya kuibuka na ushindi wa penalti 4–2 dhidi ya Algeria kwenye mchezo wa robo fainali uliopigwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo huo ulikuwa wa ushindani mkubwa na kumalizika kwa…