USIKU WA MABINGWA, PLAYSON SHORT RACES

Usiku wa mabingwa ndo huu sasa. Hatuongelei usiku wa ligi ya mabingwa Ulaya bali huu ni usiku wa Playson Short Races. Fikiria usiku ukiwa umetulia, muda ni saa 4:00 usiku. Unacheza mizunguko yako kwenye sloti za Playson, na ghafla jina lako linaanza kupanda kwenye leaderboard. Kila mzunguko unakuwa ni hatua moja mbele kuelekea kwenye ushindi mkubwa. Hii ndiyo hadithi ya Playson Short Races, mashindano ya kasi yanayotikisa kasino mtandaoni kupitia Meridianbet.

Hapa hakuna kulala mapema, kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku, kila mzunguko ni tiketi ya kukukaribisha kwenye dunia ya mabingwa. Kuna mbio 10 kila siku, kila moja ikiwa na zawadi zake za kuvutia. Ukianza na dau dogo tu la TZS 600/-, unaweza kujikuta ukipigania sehemu ya jumla ya zawadi zinazofikia TZS Bilioni 6 kwa mwezi.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kitu kinachofanya mashindano haya kuwa spesheli ni ushindi halisi unaopatikana huku. Hakuna bonasi, hakuna ujanja, ni pesa taslimu moja kwa moja kwenye akaunti yako ya Meridianbet na unalipwa ndani ya siku tatu pekee. Ni mchezo safi wa ushindi, usiku baada ya usiku.

Mashindano haya yalianza tarehe 9 Agosti na yanaendelea hadi mwisho wa mwezi huu. Huu ndio wakati wa kuandika jina lako kwenye historia ya washindi, kuishi kama bingwa na kuondoka na ushindi mkubwa.

Je, uko tayari? Fungua akaunti yako kupitia tovuti au app ya Meridianbet, weka dau lako kuanzia TZS 600/-, na jiandae kwa safari ya kasi kuelekea utajiri wa Playson Short Races.