
TAIFA STARS YAAGA CHAN 2024 BAADA YA KUPOTEZA NA MOROCCO
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeondolewa kwenye michuano ya CHAN 2024 baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Morocco katika mchezo wa robo fainali uliochezwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa dakika ya 65 kupitia kwa Lamlioui, na kuipa Morocco tiketi ya kutinga…