Meridianbet, Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania inakukaribisha uweze kusuka jamvi lako la ushindi siku ya leo kwani mitanange ipo kibao kuanzia huku Afrika mpaka kule Ulaya. Jisajili na ubeti sasa.
Ligi kuu ya Afrika Kusini PREMIER LEAGUE itaendelea leo hii kw amechi kadhaa, Amazulu FC atakipiga dhidi ya Marumo Gallants FC. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 10 baada ya kupata pointi 3, huku mgeni wake akishikilia nafasi ya 4. Mara ya mwisho kukutana mgeni aliondoka na ushindi. Leo hii Amazulu anataka kulipa kisasi akiwa nyumbani. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.13 kwa 3.65.
Mamelodi Sundowns watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Magesi FC ambao wapo nafasi ya 12, huku bingwa mtetezi yeye akiwa nafasi ya 5 baada ya kucheza mechi 2. Msimu uliopita walipokutana mwenyeji alipasuka mechi zote mbili. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. ODDS za mechi hii ni 9.20 kwa 1.36. Suka jamvi hapa.
Vilevile Orlando Pirates atakuwa kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stellenbosch FC ambao kushinda mechi hii ya leo wamepewa ODDS 4.90 kwa 1.82. Ni suluhu iliyopatikana kwenye mechi ya mwisho walipokutana, huku nafasi ya wewe kuondoka na pesa ikiwa kubwa zaidi.Tengeneza jamvi hapa.
Pesa za uhakika zipo hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
SUPER CUP kule Saudi Arabia nayo kuna mechi moja kali ya Nusu Fainali kati ya AL Qadsiya vs AL Ahli Saudi FC huku mara ya mwisho walipokutana, Ahli aliondoka na ushindi. Leo hii kila mtu anatafuta tiketi ya kwenda kucheza fainali ya michuano hii. Je nani anaweza kuondoka na ushindi leo?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.80 kwa 2.41. Bashiri sasa.
Mechi za kufuzu Ligi ya Mabingwa yaani UEFA zinaendelea ambapo leo hii Fenerbahce Instanbul atakuwa nyumbani ukiwasha dhidi ya SL Benfica ya kule Ureno. Vijana wa Mourinho kushinda mechi hii wanapewa ODDS 2.70 kwa 2.55. Mechi ya mwisho kukutana ilikuwa kwenye mechi ya kirafiki ambapo Benfica walishinda mechi hiyo, hivyo leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi. Je beti yako unampa nani siku ya leo?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya FC Basel 1893 ya kule Uswizi ambao leo hii watakuwa na kibarua FC Copenhagen ya kule Denmark. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo iweze kusonga mbele kwenye hatua inayofuata. Takwimu zinaonesha kuwa hawa wawili hawajawahi kukutana kwenye mashindano yoyote yale hivyo leo hii kila mtu anataka kumuonesha mwenzake ubabe. 2.40 kwa 3.05 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Bodoe/Glimt wao wataumana dhidi ya SK Sturm Graz ambao kushinda mtanange huu wamepewa ODDS 4.70 kwa 1.63. Hii ni vita kali kabisa kati ya timu kutoka Norway na timu kutoka Austria. Mwenyeji kwenye ligi yake alikuwa ni bingwa, huku kwa upande wa mgeni yeye akimaliza nafasi ya 5. Kwenye mechi hii unaweza ukabashiri pia machaguo uyapendayo kama vile kona, faulo nk. Unangoja nini?. Beti hapa.
FC Kairaty Almaty watasafiri hadi kule Scotland kusaka nafasi ya kufuzu hatua inayofuata dhidi ya Celtic ambao ndio wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda leo wakiwa na ODDS 1.13 kwa 19. Kila timu inahitaji inahitaji nafasi ya kushinda mechi hii ya leo. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani leo?. Tandika mkeka hapa.