EXPANSE TOURNAMENT, KASINO YA MERIDIANBET INAZIDISHA JOTO LA USHINDI

Mjini kote gumzo ni moja tu, Expanse Tournament kutoka Meridianbet. Promosheni hii ya kasino mtandaoni imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa michezo ya kasino, ikiwa na zawadi kemkem, bonasi nyingi za kasino, mizunguko ya bure, na kubwa Zaidi, TZS 1,000,000 taslimu inashindaniwa.

Promosheni hii ilianza rasmi 16.08.2025 na itadumu hadi 31.08.2025. Hii ndiyo nafasi yako ya kuonyesha umahiri wako kwenye michezo ya sloti ya Expanse na kuondoka na zawadi kubwa.

Mchezo wowote wa kasino uliotengenezwa na Expanse Studio unakupa nafasi ya kushinda. Dau la chini kwa kila mchezo ni Tsh 1,000/=, mfano ukiwa unacheza Sloti ya PIA, si tu kwamba unafurahia mchezo bali pia unajiwekea nafasi ya kushinda zawadi kubwa.

Michezo inayoshiriki ni pamoja na Pia Premium, 100 Super Icy, Gates of Olympia, God of Coins, Leprechaun Wish, Pinata Loca, Wild Icy Fruits, Wild White Whale pamoja na Zombie Apocalypse.

Zawadi Zinazoshindaniwa

Washindi 40 bora kwenye msimamo wa mwisho watavuna zawadi za kufa mtu.

Nafasi ya Kwanza – 1,000,000 TZS Taslimu

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Nafasi ya Pili – 500,000 TZS Taslimu

Nafasi ya Tatu – 250,000 TZS Taslimu

Nafasi ya Nne – 250,000 TZS Taslimu

Nafasi ya Tano – 100,000 TZS Taslimu

Nafasi ya 6 hadi 40 – Mizunguko ya bure hadi 100 kwenye PIA Sloti

Ingawa, unakumbushwa kwamba ushindi wowote utakaopatikana kupitia mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x ili kuhamishwa kwenye akaunti yako ya pesa halisi.

Hii Ndiyo Fursa Yako. Mchezo wa kasino mtandaoni haujawahi kuwa na msisimko kama huu. Ukiwa unacheza michezo pendwa ya Expanse, unajiwekea nafasi ya kushinda zawadi taslimu na mizunguko ya bure kila siku. Mwisho wa mwezi unaweza kuwa mmoja kati ya washindi wakubwa wa Meridianbet.

Usiachwe nyuma. Fungua akaunti yako ya Meridianbet leo, weka dau lako, na uanze safari ya ushindi kupitia Expanse Tournament. Huu ndio wakati wa kufanya maamuzi sahihi, cheza sasa, shinda sasa.