
SIMBA SC KUMTAMBULSHA MSHAMBULIAJI MWALIMU
INAELEZWA kuwa uongozi wa Simba SC umekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Wydad Casablanca ya Morocco, Selemani Mwalimu. Nyota huyo anatajwa kuwa muda wowote atajiunga na kikosi cha Simba SC, Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2025/26. Kikosi cha Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kinaendelea na maandalizi ya msimu mpya…