SIMBA SC YATANGAZA SIMBA DAY 2025
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi siku mpya ambayo itakuwa ni maalumu kwa utambulisho mpya wa wachezaji wao na benchi la ufundi kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Kwa sasa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids imeweka kambi nchini Misri ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya. Msimu uliopita katika anga la kimataifa iligotea hatua…