
AZAM FC NA WAPYA WALIOTAMBULISHWA, KAMBI RWANDA
RASMI Azam FC imewatambulisha wachezaji wapya wawili ambao watakuwa chini ya Kocha Mkuu, Florent Ibenge ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba Azam FC itapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ambapo itaanzia hatua za awali na mchezo wa kwanza unatarajiwa kuchezwa ugenini katika kusaka ushindi….