HUYU HAPA KUULIZWA IKIWA SIMBA SC ITABUMA MSIMU MPYA

KUELEKEA msimu mpya wa 2025/26 ni Fadlu Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC ameachiwa msala kwenye suala la usajili baada ya kupewa jukumu hilo kuhakikisha kwamba kila kitu anasimamia mwenyewe. Simba SC imeweka kambi Misri kwa maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku wakifanya usajili wa wachezaji wapya ikiwa ni Jonathan Sowah…

Read More

AZAM YAMSAJILI EDWARD MANYAMA KWA MKATABA WA MWAKA MMOJA

Klabu ya Azam FC imethibitisha kumsajili beki wa kati Edward Charles Manyama kwa mkataba wa mwaka mmoja, utakaomuweka ndani ya kikosi hicho hadi mwaka 2026. Manyama (31), raia wa Tanzania, ana historia ya kuchezea vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu Tanzania Bara, vikiwemo Namungo FC, Azam FC, Ruvu Shooting na Singida Black Stars. Anarejea kwa Wanalambalamba…

Read More