Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa Meridianbet kwenye mechi za kufuzu Uefa. Bahati ipo mkononi mwako leo hivyo changamka kusuka jamvi lako la ushindi siku ya leo.
Leo hii katika dimba la Ulker Stadyumu, Fenerbahce atamleta nyumbani kwake Feyenoord ya kule Uholanzi kusaka ushindi baada ya kupoteza mechi ya kwanza. Mwenyeji anataka kupindua meza wakati huo huo mgeni naye anataka kushikilia ushindi wake na ikiwezekana aongeze magoli mengine. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa Mourinho na vijana wake kwa ODDS 1.64 kwa 4.70. Suka jamvi hapa.
Pafos FC atakuwa uso kwa uso dhidi ya Dynamo Kyiv ya kule Ukrai. Mechi ya kwanza walipokutana mgeni alipasuka kwa bao 1 akiwa kwake huku leo hii akitafuta kusawazisha na kupindua meza ugenini. Mwenyeji yeye anahitaji kulinda bala lake na kuongeza lingine kujiweka kwenye nafasi nzuri. 3.20 kwa 2.20 ndio ODDS za mechi hii. Nani kushinda leo?. Beti hapa.
Mechi kali ni hii ya Benfica vs Nice ya kule Ufaransa ambao msimu uliopita walikuwa na kiwango bora na cha kuvutia kabisa. Mreno yeye aliondoka na ushindi akiwa ugenini na leo hii anataka kuendeleza ubabe wake akiwa kwake. Je Mfaransa anaweza kupindua meza ugenini?. 1.49 kwa 5.80 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri hapa.
Mkwanja mrefu huu hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kivumbi kingine kitakuwa majira ya saa 2:00 usiku ambapo FC Copenhagen vs Malmo FF huku mwneyeji akiwa ankipiga kule ligi kuu ya Denmark na mgeni wake akiwa anacheza ligi kuu ya Sweeden. Mechi ya kwanza walipokutana, walitoshana nguvu yaani hakuna ambaye alifanikiwa kutikisa nyavu ya mwenzake. Mechi hii imepewa ODDS 1.67 kwa 5.40. Bashiri hapa.
Vilevile Qarabag FK baada ya kushinda mechi yake ya mkondo wa kwanza ugenini, leo hii atakuwa nyumbani kushikilia ushindi wake na ikiwezekana kuongeza ushindi mwingine dhidi ya KF Shkendija ya kule Macedonia. Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet nafasi ya kufuzu leo hii wanampa mwenyeji kwa ODDS 1.30 kwa 9.20. Bashiiri yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Viktoria Plzen yeye atakuwa mwenyeji dhidi ya Glasgow Rangers ya kule Austria ambao kushinda mechi hii ya leo ugenini wamepewa ODDS 4.60 kwa 1.67. Plzen mechi ya kwanza alipigika vibaya sana kwa mabao 3-0. Je leo hii anaweza kupindua meza?. Bashiri hapa.
Baada ya kushinda ugenini mechi iliyopita, Club Brugge leo hii atamleta kwake Salzburg ambao wanataka ushindi leo kwani mlima sio mrefu. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.71 kwa 4.30 lakini pia ina machaguo zaidi ya 1000. Unasubiri nini sasa kutengeneza mkeka wako siku ya leo?. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ya kubashiri ni hii ya FK Crvena Zvezda dhidi ya Lech Poznan ambao mechi ya kwanza walipokutana walipoteza nyumbani. Mwenyeji ana mtaji mkubwa wa mabao hivyo leo hii anachotaka kufanya ni kulinda mtaji wake wa mabao alionao. Suka jamvi mechi hii yenye ODDS 1.58 kwa 5.60.