BONASI MARA TATU, MERIDIANBET INAKUKARIBISHA KWENYE ULIMWENGU WA USHINDI

Meridianbet, jina linalosimama imara katika ulimwengu wa ubashiri wa michezo na kasino mtandaoni, inawapa wapenzi wa michezo fursa ya kipekee ya ushindi kwa bonasi mara tatu mfululizo. Kupitia 1st, 2nd & 3rd Deposit Welcome Bonus, wachezaji wapya watakaojisajili na jukwaa hili wanapata nafasi ya kuongeza ushindi wao mara tatu mfululizo, pamoja na mizunguko ya bure 150. Hii ni safari ambayo inakuletea fursa za kushinda kwa hatua rahisi tu.

Meridianbet inakupa fursa ya kushiriki katika bonasi ya kwanza kwa kuweka dau ndani ya siku 6 tangu usajili wako. Baada ya kujisajili kupitia tovuti ya Meridianbet.co.tz au programu ya simu, unatakiwa kutumia dau lako mara mbili kwenye michezo yenye odds za 1.95 au zaidi, au kufanya mizunguko mitatu (3x rollover) kwenye slot machines siku hiyo hiyo. Ukikamilisha masharti haya, Meridianbet inakujaza na 150% Sports Bonus pamoja na Free Spins hadi 150, kulingana na kiwango cha dau lako.

Baada ya kukamilisha hatua ya kwanza, Meridianbet inakusubiri tena hatua ya pili ambapo unatakiwa kuweka dau lako la pili ndani ya siku 8 tangu usajili. Hapa, masharti yanabaki yaleyale ya awamu ya kwanza huku zawadiikipanda mpaka 200% Sports Bonus pamoja na hadi 150 Spins. Kadri unavyoongeza kiwango cha dau lako, ndivyo bonasi zinavyoongezeka.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Awamu ya mwisho ya bonasi hii ya kipekee sana. Unatakiwa kuweka dau lako la tatu ndani ya siku 10 tangu usajili wako. Kama hatua za awali, utahitaji kutumia dau hilo mara mbili kwenye michezo ya odds 1.95 au zaidi, au kufanya 3x rollover kwenye slot machines siku hiyo hiyo. Meridianbet inakupa 250% Sports Bonus pamoja na hadi 150 Free Spins, ikimalizia kwa kishindo mbio zako za bonasi mara tatu.

Meridianbet imejipanga kuhakikisha kila mchezaji ana nafasi ya kushiriki kwa urahisi. Kiwango cha chini cha dau ni TZS 1,000 tu, huku kiwango cha juu cha Sports Bonus kikiwa TZS 50,000. Mizunguko yote ya bure ni halali kwa siku 7 tangu upokeaji, ikikupa muda wa kutosha kufurahia michezo ya kasino. Masharti haya yameundwa kwa ajili ya kila mpenda michezo, iwe wewe ni mpya au mwana-michezo wa kujiamini.

Usiruhusu nafasi hii ya kipekee ikupite. Jiunge na Meridianbet leo, weka dau lako mara tatu ndani ya muda uliopangwa, na ufurahie bonasi za kushangaza pamoja na mizunguko ya bure. Meridianbet sio tu jukwaa la kubashiri, ni uwanja wako wa kushinda. Anza safari yako sasa, na uwe sehemu ya ulimwengu wa ushindi.