
SIMBA SC YAANZA KAZI, YAPATA USHINDI MABAO 2-0 KAHRABA ISMAILIA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wameanza kazi kupima kikosi chao wa kupata ushindi kwenye mchezo wa kirafiki. Simba SC chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids kambi yao ni nchini Misri kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26. Agosti 11 2025 walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kahraba…